‎Hii ni kazi tuliyomfanyia mteja wetu kwa ubunifu kupitia Adobe After Effects, ili kusaidia kuonesha bidhaa yake kwa njia ya kuvutia zaidi.  

‎Tunakaribisha biashara na wajasiriamali wanaohitaji video bora za matangazo ya bidhaa.  

‎📩 Wasiliana nasi kwa kazi yoyote ya graphics au motion design.