Habari na karibu sana kwenye blog hii

Hapa utapata maudhui maalum yanayochanganya ubunifu wa kidijitali na maarifa ya kiuhandisi, hasa kwenye maeneo mawili muhimu:

Graphics & Motion Design - Tunachambua mbinu, zana na mbinu bora za kubuni: logo, posters, animation na zaidi

Mineral Processing Tips - Tunaleta maarifa na uzoefu wa kiwandani kuhusu uchenjuaji wa madini na teknolojia za kisasa.

Lengo letu ni kutoa elimu, hamasa na maarifa yanayoweza kusaidia wanafunzi, wataalamu, wafanyabiashara na wabunifu.

Karibu tujifunze, tuvumbue na tuimarishe kazi zetu pamoja

Tufuate kila wiki kwa makala mpya na maudhui ya kipekee.